Skip to content
Advertisements

Diamond amuanika Wema aweka wazi chanzo chakugombana na marafiki.

Msanii Diamond Platnumz ameachia Ngoma mpya inayoitwa Sikomi ndani ya ngoma Diamond ameyaweka wazi Yale yaliyotokea kwenye mahusiano yake yaliyopita ikiwemo chanzo cha kugombana na marafiki sikiliza Napa.

Advertisements
%d bloggers like this: