Skip to content
Advertisements

Raila Odinga kuapishwa December 12.

KENYA: Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema ataapishwa kuwa Rais wa taifa hilo tarehe 12 mwezi Desemba

  • Kauli hii ya Raila Odinga imekuja saa chache baada ya Rais Mteule, Uhuru Kenyatta kuapishwa katika Uwanja wa Kasarani
Advertisements
%d bloggers like this: