Skip to content
Advertisements

Sina Mpango Wa Kumuona Lulu Gerezani -Seth

WIKI chache baada ya muigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kufungwa jela, mdogo wa marehemu Steven Kanumba, , aitwaye Seth Bosco aliyekuwepo siku ya tukio la mauaji hayo, hana mpango kwa sasa wa kwenda kumjulia hali msanii huyo gerezani.

Akipiga stori na Risasi Mchanganyiko, Seth alisema hajapanga kwenda kumuona Lulu, lakini si kwa vile ana kinyongo naye bali kwa vile amebanwa na mambo yake mengi hivyo ni vigumu kupata nafasi.
 

“Sina mpango na sijapanga kwenda kumuona Lulu kwa kweli maana kazi zinanibana sana hivyo muda wangu ni mdogo, nina kazi za watu nyingi sana, Lulu yupo tu na siku nikipata nafasi nitaenda,” alisema Seth.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: