Skip to content
Advertisements

SHAKING BABY SYNDROME

Imezoeleka kwa wazazi au hata walezi wakiwa na watoto huwarusha rusha juu wakidhani mtoto hufurahia na kucheka pindi anaporushwa rushwa juu.Kitendo hicho si kizuri kiafya kwa mtoto kwani huweza kumsababishia ugonjwa uitwao shaking baby syndrome.
Shaking baby syndrome ni ugonjwa unaompata mtoto anaerushwa rushwa juu kila mara halii hii husababisha ubongo wa mtoto kujipigiza kwenye fuvu lake la kichwa na kuweza kupelekea hitilafu mbalimbali kwenye ubongo

yafutayo yanaweza kutokea kwa mtoto mwenye shaking baby syndrome

1.Mtindio wa ubongo
2.kutosikia vizuri
3.Degedege za muda murefu
4.Upofu

Usisahau kusambaza makala hii 

 

Advertisements
%d bloggers like this: