Skip to content
Advertisements

Wema hafai hata kupewa ujumbe wa nyumba kumi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemkana msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu kuwa hakuwahi kuwa mwanachama wao.
BAVICHA wamesema hakuwahi kuwa mwanachama wa CHADEMA ndio maana hakukabidhiwa jukumu lolote katika chama hicho.
Aidha, wameongeza kuwa msanii huyo alikuwa shabiki wa chama ambaye alikuwa hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi.
Hata hivyo, msanii huyo siku za hivi karibuni ametangaza kuachana na chama hicho kwa madai ya kukosa amani ndani ya chama hicho

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: