Skip to content
Advertisements

Mnyika akanusha uvumi juu yake

Mbunge wa Kibamba John Mnyika ameliambia gazeti la Mwananchi kuwa hajajiuzulu nafasi ya naibu katibu mkuu CHADEMA, kama ambavyo imeelezwa mitandaoni na kwamba taarifa hizo ni za ushushi.Mnyika amekuwa akitajwa tajwa kujiuzulu nafasi hiyo katika siku za hivi karibuni. https://www.dondosha.blog

Advertisements
%d bloggers like this: