Skip to content
Advertisements

Kenya yasherekea siku ya uhuru

Kwa mara ya kwanza sherehe za maadhimisho ya tarehe 12 Disemba, siku kuu ambayo Kenya ilijipatia uhuru, zitafanyika katika uwanja wa Kimataifa wa Michezo wa Moi Kasarani, Jumanne Disemba 12 mwaka huu wa 2017.
Wakenya wameanza kumiminika katika uwanja huo ulioko katika maeneo ya barabara kuu ya Thika, kilomita 10 kutoka katikati mwa mji mkuu Nairobi, huku usalama ukiimarishwa.
Maadhimisho hayo ya 54 tangu Kenya ilipojipatia Uhuru wake mwaka 1963, yataongozwa na Rais Uhuru Kenyatta

Advertisements
%d bloggers like this: