Skip to content
Advertisements

Video;Rais Uhuru Kenyatta ameonya vikali upinzani

Rais Uhuru Kenyatta ameonya vikali upinzani kuwa sheria itachukua mkondo wake kwa wale wanaokiuka sheria. Akihutubia wakenya kwenye sherehe za 54 tangu taifa lijinyakulie uhuru, Kenyatta amesema kuwa taifa la Kenya haliwezi. 

kugawanywa na viongozi wenye maslahi yao. Upinzani umenukuliwa ukisema kuwa iwapo mazungumzo kati yake na chama tawala hayatazaa matunda basi wataanzisha mchakato wa kujitenga na kubuni taifa lao. Aidha rais Kenyatta. 

Amesisitiza tena kuwa tayari kushirikiana na viongozi wote bila kujali vyama na dini zao kwa lengo la kulijenga taifa na kufikia ndoto za waasisi wa taifa hilo ya huru na Umoja.

Advertisements
%d bloggers like this: