Skip to content
Advertisements

MSIBA: MO amefiwa na mtoto

Kiungo wa Simba Mohammed Ibrahim MO amefiwa na mtoto wake mdogo ambaye amezaliwa hivi karibuni.
Bado hakuna taarifa rasmi ambazo zinaeleza sababu ya kifo cha mtoto huyo, lakini inaelezwa alifariki akiwa katika hospitali ya mwananyamala.
Klabu ya Simba kupitia ukurasa wake rasmi wa Istagram (simbatanzania) wametuma salam za rambirambi kwa MO kufuatia msiba huo.
“Klabu ya Simba inatoa pole kwa kiungo wetu @mohammedibrahim04 ‘Ibrahim Mohammed’ kwa kufiwa na mwanae mpendwa, tumeumia sote kwa msiba huu wa mtoto wetu mdogo kabisa.”
“Klabu ya Simba inatoa pole kwa msiba huu mzito kwako na kwa familia kwa familia nzima.”
Inna lillah wainna ilaihi Raajiun”

Advertisements
%d bloggers like this: