Skip to content
Advertisements

Antoine Griezmann: Atletico Madrid aomba radhi baada ya kujifanya mweusi

Mshambuliaji nyota wa Atletico Madrid na Ufaransa Antoine Griezmann ameomba radhi baada yake kushutumiwa vikali kwa kujipaka rangi nyeusi kama sehemu ya utani wa kubadilisha sura.
Alikuwa awali amewaambia wafuasi wake kwenye Twitter watulie kabla ya kulazimika kuchukua hatua hiyo.
Griezmann alikuwa amepakia kwenye Twitter picha yake akiwa amevalia kama mchezaji mweusi wa mpira wa kikapu.
Baadaye aliifuta picha hiyo, sawa na ujumbe wa pili aliokuwa ameuandika uliosema: “Tulieni nyote. Mimi ni shabiki wa Harlem Globetrotters na natoa heshima kwao.”

Griezmann aliifuta picha hiyo kutoka kwenye ukurasa wake wa Twitter na kisha akaomba radhi Rais wa Marekani Donald Trump amekanusha tuhuma wkamba anapanga kumfuta kazi mwendesha mashtaka maalum Robert Mueller, ambaye amekuwa akiongoza uchunguzi kuhusu madai kwamba Urusi waliingilia kati uchaguzi wa mwaka 2016 nchini Marekani.

Advertisements
%d bloggers like this: