Skip to content
Advertisements

Harmonize awataja Sarkodie na Yemi Alade kuhusika kwenye Albam yake.

Msanii kutoka WCB Harmonize amefunguka kuachia albam yake mwaka 2018 akipiga story kwenye moja ya interview yake Harmonize alifunguka na kusema kikubwa kwenye mwaka ujao amejiandaa kuachia albam yake ambayo mastaa Kama Sarkodie kutoka Ghana na Yemi alade kutoka Nigeria watakuwepo ndani ya albam hiyo.

@yemialade na @sarkodie ndani ya Albam ya @harmonize_tz #2018

A post shared by Dondosha (@dondoshablog) on

Advertisements
%d bloggers like this: