Skip to content
Advertisements

KAMA LIPO NILILOMKOSEA DOGO JANJA ANISAMEHE

Heatmaker wa wimbo wa Toto Khalid Ramadhani Tunda(Tundaman) amesikitishwa na vitendo ambavyo Dogo Janja anavyomfanyia na kusema kuwa kama amemkosea anaomba msamaha.

Tunda man alizungumza hayo wakati akihojiwa kwenye kipindi cha Mitikisiko ya pwani cha Timesfm amesema kuwa kama amemkosea DogoJanja anaomba amsamehe ‘Yani mimi Coras yangu ndiyo iliyomfanya DogoJanja ajulikane na kiukweli sina baya nililomfanyia DogoJanja na kama lipo nililonfanyia Ninamuomba anisamehe,mimi sikualikwa kwenye harusi yake na ni mmoja wapo kati ya watu waliomkuza Dogojanja pale TipTop.Sikwenda kwenye harusi yake kwa sababu sikushirikishwa

Advertisements
%d bloggers like this: