Skip to content
Advertisements

Wolper awafungukia wanaochukua picha zake na kuzi edit

Jacquiline Wolper 

MWANADADA mwenye mvuto kwenye tasnia ya Filamu za Bongo, Jacquiline Wolper amewafungukia wanaochukua picha zake na kuzi-edit huku wakimchafua kuhusu jino lake analodai kuwa limetengenezwa kwa madini ya Silver.
Staa huyo ambaye ni maarufu pia kwa kutupia pamba za maana amedai kuwa alitumia gharama zake kupanda ndege kwenda Sauzi kuweka jino la silver huku akiwaita โ€˜Kunguniโ€™ wanaomfanyia mchezo huo mchafu.

Ngoja niwaeleze kitu kimoja ambacho amkijui kuhusiana na hili pengoโ€ฆhli pengo nimelipandia ndege kwenda south kulitoa nakuweka ma slver kwa meno yangu kwa mahaba yangu mwenyewe ya kuwa na mwanya wa pembeni ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sasa we kunguni unayetokea pasipojulikana unakuja kuchukua pcha naku edt unavyojua wewe ukizani nitakasirika au nitaumia am soleeee ๐Ÿ™„โ€ฆunapoteza muda wako me najipenda nilivyo naikitokea nimechoka nitanyanyua makalio yangu hapa nitajilipia nauli nakwenda kuweka jino niwe na jino so plz usitokwe na damu juu ya hlo pengo langu ndilo nalodangia kwa tarfa yako kma ulikua ujui๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ซ#Pengodanga๐Ÿ’ƒ๐Ÿฅ‚๐Ÿพ
โ€ฆ

Ngoja niwaeleze kitu kimoja ambacho amkijui kuhusiana na hili pengo…hli pengo nimelipandia ndege kwenda south kulitoa nakuweka ma slver kwa meno yangu kwa mahaba yangu mwenyewe ya kuwa na mwanya wa pembeni ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sasa we kunguni unayetokea pasipojulikana unakuja kuchukua pcha naku edt unavyojua wewe ukizani nitakasirika au nitaumia am soleeee ๐Ÿ™„…unapoteza muda wako me najipenda nilivyo naikitokea nimechoka nitanyanyua makalio yangu hapa nitajilipia nauli nakwenda kuweka jino niwe na jino so plz usitokwe na damu juu ya hlo pengo langu ndilo nalodangia kwa tarfa yako kma ulikua ujui๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ซ#Pengodanga๐Ÿ’ƒ๐Ÿฅ‚๐Ÿพ …… ….. ๐Ÿ‘‰๐Ÿ“ธ @director_matrixtz

A post shared by Jacqueline Wolper (@wolperstylish) on

Advertisements
%d bloggers like this: