Skip to content
Advertisements

Cassper ,Mohombi ndani ya Money Monday ya Vanessa Mdee.

Rapper kutoka SA cassper pamoja na Mohombi ni baadhi ya wasanii ambao wamekamilisha albam mpya ya mwanadada Vee Money iitwayo Money Monday ambayo ameiachia Jana rasmi wasanii wengine ni Kama Radio and wisal wa Uganda.

Advertisements
%d bloggers like this: