Skip to content
Advertisements

Wema Sepetu, Jokate wateuliwa Wizara ya Maliasili na Utalii

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla amefanya uteuzi wa wajumbe nane kuunda kamati ya kitaifa ya kuandaa mwezi maalum wa maadhimisho ya urithi wa Tanzania (Tanzania Heritage Month).
“Tumeongeza idadi ya wajumbe wa Kamati ya Mwezi wa Urithi wa Tanzania (Tanzania Heritage Month) ili kupata uwakilishi wa Zanzibar na Vijana. Kamati hii itafanya kazi ya kuweka sawa wazo hili na kusaidia utekelezaji wake” amesema Dkt. Kigwangalla.

Taarifa kamili;

Advertisements
%d bloggers like this: