Skip to content
Advertisements

BARNABA AAGA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII

Msanii wa muziki wa Tanzania na mtunzi wa nyimbo za

BongoFleva Barnaba atangaza rasmi kuaga kutumia mitandao ya kijamii.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram Barnaba ameandika kuhusiana na suala la kuacha kutumia mitandao ya kijamii amepost picha tatu zinazofanana na kusisistiza kuacha kutumia mitandao ya kijamii na kwa kila post ameandika hii Caption” As I sign off social media for a little while, I would like to wish my fans, friends and family A Merry Christmas and A Happy New Year.

I am taking some time off to set things right for the year 2018. I bring to you a new Barnaba Classic, as I re-brand from my music to my looks. Stay tuned Barnaba will be back bigger, better and Classy as always.

SEE YOU IN 2018.

Nikiwa najitoa kwenye mitandao ya kijamii kidogo, ningependa kuwatakia mashabiki, marafiki na familia yangu Heri ya Christmas na Mwaka Mpaya. Ninapumzika kidogo ili kuweka mipango yangu vizuri kwaajili ya mwaka 2018. Nitawaletea Barnaba mpya mwenye kila jipya kimuziki na hata Sound . Stay tuned, Barnaba atarudi bora zaidi na Classy kama kawaida yake. Tukutane 2018

Advertisements
%d bloggers like this: