Skip to content
Advertisements

Dudu Baya Amtupia Dongo Jux “Mimi Sio Msanii wa Kulia Lia Kama Jux Anayemlilia Vanessa”

Msanii Dudu Baya amesema kuwa yeye sio msanii wa kulia lia kama Jux anayemlilia Vanessa.
Akiongea na Planet Bongo ya East Afrika Radio, Dudu Baya amesema yeye ni msanii anayebadilika kila wakati kulingana na kile kitu mashabiki wake wanataka.
“Mimi nabadilika kila wakati kulingana na mazingira, na ndo maana ukisikia nyimbo zangu kwa sasa ni kwaajili ya masela na sio watu wa kulia lia, kama wapo watu wanaotaka kulia lia wakamsikilize Jux anayemlilia Vanessa maana sio kila mtu kaachwa na Vanessa,” amesema Dudubaya.
Dudubaya ni msanii wa Bongo Fleva aliyetamba zaidi katika miaka ya 2005 na nyimbo zake tofauti ikiwemo mpenzi, nakupenda tu na nyinginezo

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: