Skip to content
Advertisements

NYAMA NDANI YA PUA (NASAL POLYPS)


NYAMA NDANI YA PUA/ NASAL POLYPS

Nasal polyps hizi ni aina ya vimbe zinazojitokeza toka katika kiwamboute ndani ya pua na paranasal sinuses.( aina yavitundu ndani ya pua). Ni uotaji wa mucosa uliozidi kawaida ambao mara nyongi huambatana na Allergic Rhinitisna pia huwa haviumi na ni huru katika mwenendo ndani.( Freely movable)

MAELEZO JUU YA NYAMA ZA PUA (NASAL POLYPS)

Nyama za pua (Nasal polyps) mara nyingi zinawekwa katika makundi mawili ambayo kitaalamu yanajulikana kamaantrochoanal polyps na ethmoidal polyps. Antrochoanal polyps huchipua ama kuota toka katika vijitundu viitwavyomaxillary sinuses na hizi huwa ni mara chache kuwapata watu. Ethmoidal polyps hizi hichipua ama huota toka katika vijitundu viitwavyo ethmoidal sinuses. Antrochoanal polyps mara nyingi huadhili tundu moja ya tu pua wakati ethmoidal polyps huwa ni nyingi na huathili tundu zote za pua.
DALILI ZA MTU MWENYE NYAMA ZA PUA

Mara nyingi mtu mwenye nyama aina hii huhisi pua kuziba, sinusitis, kupoteza hali ya kunusa harufu ain yoyote, kupata maumivu ya kichwa. Pamoja na kuziondoa kwa njia ya upasuaji nyama hizi huwa zinatabia ya kujirudia kuota tena, karibu asilimia 70% ya upasuaji hujirudia. Upasuaji unahitaji umakini mkubwa ili kuepusha uharibifu wa maeneo mengine ndani ya pua na jicho (orbit matter).

KUNA AINA KUU 2 ZA NASAL POLYPS.

1. Antrochoanal
a. Moja (Single), Huathili tundu moja (Unilateral)

b. Can originate from maxillary sinus

c. Hasa huwapata watoto (Usually found in children).

  1. Ethmoidal

a. huathili tundu zote mbili (Bilateral)

b. Mara nyingi huawapata watu wazima (Usually found in adults).
VISABABISHI

Namna nyama za pua zinavyojitokeza bado haifahamiki, ila inafikirika kuwa nyingi husababishwa na Allergy na kwa uchache cyst fibrosis.

AINA YA MAGONJWA YANAYO AMBATANA NA UTEKEAJI WA NYAMA ZA PUA.

  • Chronic rhinosinusitis
  • Asthma
  • Aspirin intolerance
  • Cystic fibrosis
  • Kartagener’s syndrome
  • Young’s syndrome
  • Churg-strauss syndrome
  • Nasal mastocytosis
  • Exposure to some forms of chromium can cause nasal polyps and associated diseases.

MATIBABU.

Nasal polyps mara nyingi hutibiwa kwa njia ya upasuaji, aina ya steroids za kupaka nk.

Advertisements
%d bloggers like this: