Skip to content
Advertisements

Paul Kagame amechukua Uenyekiti wa Umoja wa Afrika 

Rais wa Rwanda Paul Kagame

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amechukua Uenyekiti wa Umoja wa Afrika kwa kipindi cha mwaka mmoja. Ni changamoto gani kubwa zinazomkabili katika kuliongoza bara la Afrika katika kipindi hicho? Mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Tanzania, Dokta Marcos Albanie amelichambua hili.

Advertisements
%d bloggers like this: