Skip to content
Advertisements

Picha; Gigy money akiwasili ofisi za Basata kumbe ni mama kijacho!

Baada ya kauli ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza kumtaka Gigy Money kufika Ofisini kwake mwenyewe kabla ya Serikali haijamtafuta , Leo January 8 2018 nimezinasa Picha 10 za Gigy Money akiingia Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) aliwasili na mpenzi wake Mo J, Good News ni kuwa Msanii huyo ni mjamzito.

Advertisements
%d bloggers like this: