Skip to content
Advertisements

Ray C; sanaa imegeuka danga!

Msanii mkongwe katika tasnia ya muziki wa bongo Rehema Chalamila “Ray C” ameamua kufungua mdomo wake na kuwachana wasichana wanaofanya sanaa kwa kiki na kukaa utupu mtandaoni kwa kigezo cha sanaa kupitia twitter account yake ray c alianza kuwa ponda wasanii wanaotegemea kiki kwa kuandika.

“Zamani!kiki zilitokana na kazi zako kwanza mengine yalikuwa ni kachumbari tu za kuongezea utamu wa kazi zako!Ila saivi kiki ni kukaa uchi wa mnyama!ukiwauliza wana mchango gani kwenye hii sanaa?watakuambia mapaja!”

Hakuishia hapo hit maker huyo wa ngoma ya hatuachani aliyoifanya kwa  Messen Selekta aliongeza kwa kuandika.

“Umaarufu ungekuwa ni kukaa uchi!basi kina beyonce wenye mihela yao wangekuwa wanaposti uchi wao mitandaoni kila kukicha Watrend!!

Sanaa imegeuka danga!”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: