Skip to content
Advertisements

Atoboa bomba la mafuta ya Dizeli la bandari(SPM) na kujiunganishia nyumbani kwake

Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), wakishirikiana na Jeshi la Polisi nchini, wanamshikilia Ndugu Samwel Nzagi Kilang’ani mwenye umri wa miaka (63), kwa tuhuma za kutoboa bomba la mafuta ya Dizeli la “Single Point Mooring” mali ya TPA na kujiunganishia bomba lake la mafuta hadi nyumbani kwake ambako ameweka mantaki makubwa ambayo ameyachimbia chini ya ardhi.
Kwa sasa mtuhumiwa anashikiliwa na jeshi la polisi kwa hatua za uchunguzi wa kisheria huku watuhumiwa wengine wakiendelea kutafutwa.

Advertisements
%d bloggers like this: