Skip to content
Advertisements

HUYU NDIO KIGOGO ALIYESUBIRIWA KUTOKA CHADEMA!

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempokea mfadhili na mwanachama wa CHADEMA ndugu Hassanal Muslimu muda huu adai Anachokifanya Rais ndicho walikipigania siku zote.

Ikumbukwe Muslim Hassanali, alikuwa mgombea ubunge jimbo la Ilala kwa tiketi ya Chadema ambaye pia ni mjumbe bodi ya wadhamini wa chama hicho. 

https://twitter.com/dondosha_blog/status/950657994911633408

Advertisements
%d bloggers like this: