Skip to content
Advertisements

Sudan;watu 16 wameripotiwa kuuawa  🇳 🇬 🇩 🇦 🇩 🇾

Watu 16 wameripotiwa kuuawa ikiwa ni pamoja na watoto watatu, tokea Sudan Kusini kusitisha mapigano mwezi mmoja uliopita.

 Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa mara nne tofauti na kundi linalosimamia kusimamishwa mapigano na hatua za mpito za kiusalama uliochapishwa jana.

Vikosi vya serikali na vile vya upinzani vimelaumiwa kwa kukiuka kwa mara kadhaa makubaliano ya kusitisha vita tangu yalipoanza mnamo tarehe 24 mwezi Desemba mwaka uliopita.

Advertisements
%d bloggers like this: