Skip to content
Advertisements

Kim  na kanye wakataa kuuza picha ya mtoto wao.

Kim Kardashian na Kanye West ambao wamepata mtoto wa tatu wamekataa kiasi kikubwa cha dola za kimarekani,ambapo jarida moja nchini humo limetaka kutumia picha ya mtoto wao huyo kutoka kwenye jarida hilo kwenye ukurasa wa mbele mara baada ya kuzaliwa.

Kim Kardashian na Kanye West wamekuwa kwenye majadiliano mya muda na jarida hilo ambalo halijatajwa jina lake na wamesema wameshindwa kuafikiana kwani bado wanahitaji muda wa kutafakari zaidi swala hilo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Tmz kuwa picha hiyo ingeuzwa kwa dola kati of $2 hadi $5million.mtoto huyo wa Kanye na Kim amezaliwa January 15,saa 12:47 akiwa na uzito wa 7lb 6oz.na jinsia yake ni kike.

Advertisements
%d bloggers like this: