Skip to content
Advertisements

Bright; South Africa Hawamjui Diamond wala Ali kina.

Bright 

Hitmaker was ngoma ya sina msanii Bright amefunguka na kusema kuwa hakuna msanii yeyote wa Tanzania anayefahamika nchini Afrika kusini sio Diamond wala Ali kina.

“Wakati nipo kule (South Africa) niliuliza baadhi ya watu kama wanawafahamu wasanii wa huku, niliuliza kama Diamond wanamfahamu wakasema hawamjui, hata Alikiba” 

amesema Bright ambaye siku chache zilizopita alikuwa nchini Africa Kusini kushoot video ya wimbo wake mpya ‘sina’ .
.

Hata hivyo Bright ameongeza na kusema kwamba wabongo wanaoishi Afrika Kusini ndio wanawafahamu Diamond na Alikiba pamoja na wasanii wengine. 

Advertisements
%d bloggers like this: