Skip to content
Advertisements

Kim Kardashian amuumbua aliyekuwa shemeji yake

Kim Kardashian amemuumbua aliyekuwa shemeji yake kwa dada yake Khloe, Lamar Odom baada ya kudai kuwa alijua mahusiano yake na mkwe yamekwisha baada ya kuona yupo serious na mcheza kikapu wa NBA Tristan Thompson.

Kim amemjibu shemeji yake huyo kupitia mtandao wa Twitter kwa kuandika “Or second or third brothel,” baade ya mwanaume huyo kudai kuwa alijua ndoa yake na mkewe imekisha baada ya kumuona anajiingiza katika mahusiano na mchezaji kikapu wa NBA wapili au watatu.
Maneno ya mwanume huyo aliyatoa wakati wa mahojiano aliyokuwa akifanyiwa hivi karibuni. Hata hivyo mashabiki wamemtaka Lamar asimsingizie Khloe kuhusu kuvunjika mahusiano yake bali atambue kuwa mahusiano hato yaliisha baada ya kujiingiza katika utumiaji wa madawa ya kulevya.

Advertisements
%d bloggers like this: