Skip to content
Advertisements

Amber rose: “napenda kunusa boxer ya Savage 21”

Ni kitu gani huwa unapenda kukinusa au kukishika tu, pindi mpenzi wako anaporudi? Utanipa jibu, lakini Mimi nitakupa jibu la Amber Rose.

Mwanadada Amber Rose ameweka wazi kuwa, huwa ananusa nguo za ndani za mpenzi wake Rapa 21 Savage, masaa machache baada ya kuzivua na kiukweli zina harufu nzuri,

“I’ve sniffed his underwear, like where his balls are, It smells so good.”

  • alisema AmberRose kwenye mazungumzo kupitia Podcast yake ya Loveline.
Advertisements
%d bloggers like this: