Skip to content
Advertisements

Huyu anaweza kuwa ‘girlfriend’ mpya wa Idris Sultan?

Idris Sultan amepata kifaa kipya? Inaweza ikawa hivyo. Kupitia Instagram ameshare video akiogelea na msichana mrembo wa kizungu na mashabiki wake wamepagawa. Tumekusimulia hapo chini.

Advertisements
%d bloggers like this: