Skip to content
Advertisements

JANJARO AZUNGUMZA KUHUSU ASLAY

Dogojanjatz anasema anachokipenda kwa Aslay ni kwamba muziki wake unagusa matabaka yote “Yule anagusa kuanzia watu wa maisha ya chini kabisa mpaka wa juu wanamkubali”. Pia anasema watu wamezoea kumuona aslayisihaka akiimba ‘playback’ lakini hawajui kwamba ni mkali sana akiimba live. ” Yule ni vocalist, akiimba live ni mbaya sana.

Advertisements
%d bloggers like this: