Skip to content
Advertisements

Victoria kimani amchapa kofi shabiki wa kiume aliyemshika makalio.

Victoria kimani

Trending: 11 February

Mwanadada staa wa muziki nchini Kenya, Victoria Kimani amemchapa Kofi shabiki wa kiume ambaye alimshika kalio lake wakati akiwa jukwaani kwenye show yake nchini Kenya wikendi hii.

Kimani aliutumia ukurasa wake wa Instagram kutoa povu na kuwaonya wanaume waache tabia hiyo.

‘To the guy that grabbed my a$$, That HOT SLAP you got in the Face by the security detail…. You fully deserved it! BOYS Stop touching GIRLS without their consent!’.- aliandika Victoria Kimani

Advertisements
%d bloggers like this: