Skip to content
Advertisements

Hatimaye Nicki Minaj amepatikana!

Baada ya ukimya wa muda mrefu, NickiMinaj ametokea kwenye Chapisho jipya la jarida la Vogue kwa Mwezi March mwaka 2018. VOGUEMAGAZINE

Minaj amekuwa nje ya mitandao ya kijamii hasa Instagram tangu December 30, 2017.

Advertisements
%d bloggers like this: