Skip to content
Advertisements

“Kaa mbali na mume wangu”-Beyonce

Beyonce na Jay z

Usijaribu kucheza na Beyonce hasa likija suala la Mumewe, Jay-Z.

Unaambiwa #Beyonce amethubutu kufungua mdomo wake na kumtamkia mwanamke mmoja, KAA MBALI NA MUME WANGU!

Stori hii imefikishwa kwetu kutoka kwa Mwanadada Muigizaji pia Mchekeshaji, Tiffany Haddish ambaye kupitia kipindi cha “Uncensored” cha TV One, Haddish amezungumza kwamba aliwahi kualikwa kwenye moja ya After Party za The Carters.

Wakati hafla ikiendelea, alionekana Muigizaji mmoja wa kike akiongea na Jay huku akimshika kifua chake!!! Ghafla alitokea Queen Bey na kumwambia, “Ondoa mkono wako kwenye kifua cha mume wangu”

“So I go to the Jay-Z concert and I am invited to the after-party. I was talking to another actress that was there, who was also talking to Jay-Z and she touched Jay-Z’s chest. Beyoncé came walking up and her demeanor was like, ‘Get your hand off my man’s chest!’ ”- alisema Mwanadada Haddish.

Advertisements
%d bloggers like this: