Skip to content
Advertisements

“Asahd khaled” asaini dili nono na kampuni ya Yordan

Akiwa na mwaka mmoja tu, tunaona anaanza kufuata nyayo za baba yake!

Taarifa kubwa usiku huu ni kuwa Asahd Khaled, mtoto wa kwanza wa DJKhaled amelamba dili nono kwa kusaini mkataba na kampuni ya Air Jordan.

#Asahd kwa mara ya kwanza, atakuwa sura ya bidhaa mpya ya nguo za watoto kwa ushirikiano na kampuni ya Jordan.
“Ok world here I come,”- Kwa furaha ilisomeka caption hii kwenye Ukurasa wake wa Instagram wakati akitangaza dili hili la Kwanza kwenye maisha yake.

Ushirikiano huo wa Asahd na Jordan utahusisha nguo za watoto ikiwemo: Nguo za juu (Tops), Kaptula & suruali, kofia na soksi.

Advertisements
%d bloggers like this: