Skip to content
Advertisements

R kelly Atimuliwa kwenye Nyumba kisa,kashjndwa kulipa kodi.

R kelly Atimuliwa kwenye Nyumba kisa,kashjndwa kulipa kodi.

Muimbaji wa muziki wa R&B, R. Kelly amefukuzwa kwenye jumba la kifahari ambalo alikuwa akiishi, kwa kushindwa kulipa kodi ya miezi miwili.

Kelly alikuwa anadaiwa kiasi cha $23,084.90 kama kodi ya miezi miwili. Ripoti zinasema kuwa wakati wa kutekelezwa kwa agizo hilo la kumuondoa R.Kelly ndani ya jumba hilo ambalo lipo mjini Georgia, hapakuwa na mtu anayeishi.

Unaambiwa pia jumba hilo ndio linalodaiwa kuwahi kutumiwa na Kellz kuwanyanyasa Wasichana wadogo, kwa kuwaweka kinyumba, kuwachezea kimapenzi na kuwafanya waishi maisha ya kitumwa.

Advertisements
%d bloggers like this: