Skip to content
Advertisements

“Nilishafanya wimbo na Ali Kiba” -Ney Wamitego

Nay Wa Mitego asema hana tatizo na Alikiba na wala team zao hazimhusu
.
“Sina tatizo na Alikiba utimu wao haunihusu, mimi mwenye nina timu True Boy, Watu hawajui tu, nilishawahi kufanya ngoma na Alikiba, kitambo sana kabla sijawa mkubwa kiasi hiki, haikutoka kabisa, nakumbuka kipindi hicho hata Alikiba hakuwa Alikiba huyu.

Alikuwa Alikiba wa Cinderela mimi nilikuwa nimetoa wimbo unaitwa Itafahamika,” amesema akizungumza na Times fm

Advertisements
%d bloggers like this: