Skip to content
Advertisements

Atakacho kifanya Rapper “Rosa Ree “baada ya kupata mume .

The Rap Goddess, Rosa Ree ametuchana kuwa ataanza kufanya nyimbo za mapenzi pale tu atakapopata Mume Mwema.

Akipiga stori kwenye kipindi cha EIGHT kinachoruka kupitia TV-E, Rosa Ree ambaye amekuwa akifanya Hip Hop ya majigambo na kujisifu sana, alisema
“Naomba Mungu, Mume mwema akija, ndio na mimi nitaweza kuandika nyimbo za Mapenzi.”- alisema RosaRee.

Rosa Ree aliivamia na kuiteka Industry ya Hip Hop bongo kwa Wanawake pale alipokuja na ngoma yake ‘One Time’ kisha zikafata ‘Up In The Air’, ‘Dow’ na sasa ‘Marathon’.

Advertisements
%d bloggers like this: