Skip to content
Advertisements

TANZIA; MUIGIZAJI MKONGWE BOLLYWOOD AFARIKI GHAFLA DUBAI.

Muigizaji mashuhuri wa Bollywood, Sridevi(54) afariki dunia ghafla huko Dubai kwa cardiac arrest. Ameenda Dubai kwenye harusi akiwa na mume wake na mwanae

Sridevi ndie anatajwa kuwa true superstar mwanamke wa 1 Bollywood akitamba Sana miaka ya 1980s na 1990s, baadhi ya filamu zake maarufu ni Nagna, Mr.India, Gumrah, Khudah Ghawah, Judai, Sadma, Lamhe, Chandni na English Vinglish

Kipaji cha Sridevi kuanzia uigizaji, dancing skills kinatajwa kuwa cha Hali ya juu huku urembo wake ukitajwa kumfanya awe wa kipekee.

Wakati akiwa kileleni producers wengi wanatajwa kupanga mstari nyumbani kwake kumuomba Sana akubali kucheza filamu zao.

Ameigiza filamu zaidi ya 200 katika lugha mbalimbali pasipo kujua baadhi ya lugha hizo Lakini Mara zote performances zake zimepata appreciation kubwa

Advertisements
%d bloggers like this: