Skip to content
Advertisements

Askari polisi ahukumiwa kifungo cha maisha kwa mauaji ya muandamanaji

Mahakama ya kijeshi kaskazini magharibi mwa DRC imemuhukumu kifungo cha maisha jela afisa wa polisi aliyefyatua risasi na kumuua mmoja wa wandamanaji wanaompinga rais Joseph Kabila.

Mjini Kinshasa pia afisa mwingine wa polisi amekamatwa kwa makosa kama hayo na anatarajiwa kufikishwa mahakamani. Hata hivyo, mashirika ya kutetea haki za binadamu yamezungumzia

kutoridhishwa na kesi hiyo kwa sababu haiwahusishi viongozi wa ngazi ya juu ambao wanaongoza jeshi na polisi.

Advertisements
%d bloggers like this: