Skip to content
Advertisements

Diamond Platnumz Aogopa kumchana tena “Alikiba”

Msanii Diamond Platnumz amelazimika kiviruka vipande vya mistari ambavyo viliwahi kutafsiriwa kama diss kwa msanii mwenzake Alikiba.

Mistari hiyo iliyo katika remix ya wimbo wa Fresh ambao ni wa msanii Fid Q akiwa katika kituo kimoja cha redio huko Zanzibar katika kusaka vipaji vya watangazaji wapya wa Television yake ya Wasafi tv pamoja na wasafi redio.

Diamond aliruka vipande hivyo wakati akichana ngoma hivyo vipande hivyo ni kama “ukinichukia sikosi hela hivyo kwangu mi ni fresh kuni compare na sindelela haiwezi kuwa fresh” kipande kingine ni “viuno vidogo wanataka pensi ya pepekale siwalitaka kiti imewapa hadi kitanda wakalale”

Advertisements
%d bloggers like this: