Skip to content
Advertisements

Mchekeshaji Eric Omondi aomba radhi

Mchekeshaji Eric Omondi Ameomba Msamaha Kwa Mashabiki zake baada ya Video yake ya Utupu Kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, Eric anasema ilikuwa ni Comedy tu na hakuwa na mpango wa kukera watu.

Kupitia Instagram yake Eric ameandika “Nimekuwa mchekeshaji maisha yangu yote, nimekosea mara nyingi sana, leo ilikuwa miongoni mwa siku nilizo kosea sana, nimewakera wengi ila halikuwa thumuni langu kufanya hivyo, NAOMBA RADHI SANA KWA HILO JAMBO”.
Video hii fupi ya Eric Omondi inamuonyesha akiwa mtupu akiogelea na watoto kwenye mto flani

Advertisements
%d bloggers like this: