Skip to content
Advertisements

“Polisi Dubai watoa ripoti ya kifo cha muigizaji” SRIDEVI

Polisi Dubai wamesema ripoti zimeonyesha kuwa kifo cha muigizaji maarufu wa Bollywood (SRIDEVI)

kilisababishwa na kuzama katika jakuzi bafuni baada ya kupoteza fahamu.
Hapo awali vyombo vya habari vilitangaza kuwa muigizaji huyo.

Alipoteza maisha baadaya kupatwa na mshtuko wa moyo.Lakini baada ya uchunguzi kufanyika imeonekana kuwa sababu hasa ya kifo chake ni kwamba alizama ndani ya jakuzi alipokuwa bafuni hotelini baada ya kupoteza maisha.

Sridevi aliyekuwa na umri wa miaka 54 amekuwa katika ulimwengu wa filamu kwa miongo 5.
Aliigiza filamu yake ya kwanza akiwa na miaka minne.

Advertisements
%d bloggers like this: