Skip to content
Advertisements

Eti Amber Na 21 Savage Wameachana!? Amber Rose Atoa Majibu.


Isa Break Up!? Taarifa kubwa zenye headlines nzito inayosema ‘Amber Rose na 21 Savage Wameachana’ zimezidi kushika kasi kwenye Mitandao ya kijamii.

Hii imekuja baada ya Wawili hao kufuta picha ya kila mmoja kwenye Instagram yake, huku Amber Rose akim-Unfollow kabisa rapa huyo.

Sasa ichukue hii, taarifa mpya ni kuwa Amber Rose na 21 Savage bado wako pamoja! Amezungumza Amber kwenye mahojiano na The Shaderoom.

Amber amesema bado wako pamoja na kuhusu kum-Unfollow IG, ilitokea bahati mbaya wakati anawa-Unfollow watu wake 100,
“We’re still together, I just unfollowed over 100 people though. His unfollow was on accident—It’s back up now”. alisema Amber na kukazia kuwa tayari amem-follow back.

Aliongeza pia kuwa, alifuta picha ya mwisho ya #21Savage kwa sababu wadada walikuwa wakimtolea macho sana,
“everybody was going in on my baby and I didn’t like that.” alimaliza #AmberRose.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: