Skip to content
Advertisements

Chris Brown Azidi Kuandamwa Na mzimu wa Rihanna.. Aoga matusi kisa Kendall Jenner!

Baada ya Chris Brown kumpiga Rihanna mwaka 2009, dunia nzima ililipuka kwa nyuso za hasira hasa Jumuiya za Wanawake zikilaani vikali kitendo hicho.

Sasa ni miaka 9 imepita, lakini hasira za Wanawake juu ya Ukatili ule bado zinaendelea na imebaki kama doa kwa Chris Brown.

Kupitia ukurasa wa Twitter wa Mrembo KendallJenner, amejikuta akiwashiwa moto na mashabiki zake kwa kukaa karibu na ChrisBrown kwenye video mpya ya muziki ‘Freaky Friday’ ya rapa Lil Dicky, huku wengi wakimwambia akae mbali na mtu huyo ambaye anawanyanyasa Wanawake.

“Please tell me you’re not supporting Chris Brown.” aliandika shabiki mmoja kwenye Twitter baada ya Kendall ku-share video hiyo. Mwingine aliandika, “Girl, please don’t support an abuser.”-

Advertisements
%d bloggers like this: