Skip to content
Advertisements

Diamond Platnumz Hakika unastahili “Rose Ndauka”

Msanii wa filamu nchini Rose Ndauka amefunguka kupitia account yake ya mtandao wa Instagram na kumpongeza Diamond platnumz kwa Albamu yake ya A boy from Tandale Rose aliandika

“Diamond Platnumz Hakika unastahili Heshima kubwa sana na shukran za dhati! Binafsi nikiacha miziki mizuri, Video nzuri na hustle zako. Naamini kuna vitu vitatu vya msingi umezawadia soko la mziki TANZANIA”

  1. Umeweza kutanua wigo wa mziki wetu! Haikuwa kitu chepesi kutoka kwenye foleni ya wasanii wa label hadi kuwa msanii anaetambulika na kupewa airtime ya kutosha katika vituo Mbali Mbali vya kimataifa (MTV, channelO, BET…) Sasa umeonesha kuwa msanii wa TANZANIA Anauwezo wa kulaunch hata Album Nchi jirani na Bado impact ikawa kubwa.
  2. Umeweza kukuza Thamani ya mziki wa TANZANIA . Wasanii wengi waliaminishwa kuwa ukiomba hela kubwa unakosa deals na unapotea. Lakini uliweza kuchange game! Kuanzia malipo ya Show hadi endorsements!

  3. Umeweza kukuza mnyororo wa Thamani. Zamani wasanii tulikua tunasifiwa sana lakini team inayotusaidia haikuwahi kupata Thamani. Umeweza kufanya Dancers kupata thamani! Managers wakapata Thamani! Stylist akapata Thamani. Kila anaeshiriki katika kusaidia Safari yako ya mafanikio kupata Thamani.
    Hongera Sana!!!

*** Diamond Platnumz *** Hakika unastahili Heshima kubwa sana na shukran za dhati! Binafsi nikiacha miziki mizuri, Video nzuri na hustle zako. Naamini kuna vitu vitatu vya msingi umezawadia soko la mziki TANZANIA 🇹🇿. 1. Umeweza kutanua wigo wa mziki wetu! Haikuwa kitu chepesi kutoka kwenye foleni ya wasanii wa label hadi kuwa msanii anaetambulika na kupewa airtime ya kutosha katika vituo Mbali Mbali vya kimataifa (MTV, channelO, BET…) Sasa umeonesha kuwa msanii wa TANZANIA Anauwezo wa kulaunch hata Album Nchi jirani na Bado impact ikawa kubwa. 2. Umeweza kukuza Thamani ya mziki wa TANZANIA 🇹🇿. Wasanii wengi waliaminishwa kuwa ukiomba hela kubwa unakosa deals na unapotea. Lakini uliweza kuchange game! Kuanzia malipo ya Show hadi endorsements! 3. Umeweza kukuza mnyororo wa Thamani. Zamani wasanii tulikua tunasifiwa sana lakini team inayotusaidia haikuwahi kupata Thamani. Umeweza kufanya Dancers kupata thamani! Managers wakapata Thamani! Stylist akapata Thamani. Kila anaeshiriki katika kusaidia Safari yako ya mafanikio kupata Thamani. Hongera Sana!!! #ABoyFromTandale #GameChanger @diamondplatnumz

A post shared by Rose Ndauka (@rossendauka) on

Advertisements
%d bloggers like this: