Skip to content
Advertisements

“Queen Darleen” SIWEZI KUKAA MDA MREFU BILA KUFANYA MAPENZI

Msanii wa muziki kutoka label ya WCB, Queen Darleen ameushangaza umma wa Wakenya baada ya kudai kwamba mtu akikosa kufanya mapenzi kwa muda mrefu anachanganyikiwa kabisa.

Muimbaji huyo aliyasema hayo mapema wiki hii kwenye interview na redio moja akiwa nchini Kenya katika uzinduzi wa albumu ya Diamond ‘A Boy From Tandale’ ”Mwanamke hata uwe na tofauti vipi hata uwe vipi lakini kuna wakati pia kama binadamu una hisia unahitaji kuwa na mpenzi akuliwaze, akufurahishe unajua vile.

vitu vinafanya muda mwingine ukiwa haujapata siku nyingi unawehuka eeh, unakuwa hauna akili vizuri” alisema Queen Darleen.

Advertisements
%d bloggers like this: