Skip to content
Advertisements

Ray C “Tatizo Nyota Baba”

Msanii mkongwe Rehema Chalamila aka Rayc ameonyesha kufurahishwa na video mpya ya wimbo wa Diamond Platnumz aliyomshirikisha Omario kutoka Marekani.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ray c alifunguka kwa kusema ” Wangekuwa na uwezo!Hata YouTube Wangewaambia ufungiwe Mzee Baba Tatizo lako Nyota Mzee baba!”

Advertisements
%d bloggers like this: