Skip to content
Advertisements

Aunt Ezekiel “Am so proud of you Diamond Platnumz”

Msanii wa fimilamu Tanzania na mzazi mwenzie na dancer Mose Iyobo kutoka WCB wasafi Aunt Ezekiel amempongeza msanii Diamond kwa kitendo cha kutoa ya moyoni kwa naibu waziri wa tamaduni na michezo mh:Juliani Shonza kupitia mtandao wa Instagram Aunt amepost kipande cha tweet aliyo tweet Diamond na kuandika maneno yafuatayo.

“Uoga wako ndio kufeli kwako…..@diamondplatnumz Am so proud of u kiukweli unajua unachokifanya haijalishi anaetaka kukukatisha Safari yako ni Nani na anacheo gani!Ilimradi unajua haki yako basi uweka uwoga pembeni na kutetea haki yako….SAFI SANA ….Ktk kazi hizi kwa asilimia kadhaa hawa watu wamekuwa wakichangia kufeli kwa kazi zetu tena Mbaya zaidi utokeza baada ya kuona kuna baadhi ya mafanikio kupitia fani hiyo Ila wakati mkihangaika kusukuma gurudumu huwa wamekaa kimya kama hawapo Mnakosea Sana tena Sana mnakatisha tamaa mnafelisha watu Pamoja na Maisha yao bila kufikiri kuna watu wangapi Nyuma yake ambao anawabeba na kufanya Maisha yaende….Nashindwa kuandika sana lakini natamani tuu wajue kuwa WANATUKOSEA SANA SANA SANA……Wasanii tuinuke na kuwa na Uthubutu wa kusema yote yale ambayo tunaona tunaonewa na sio kukaa kuongea chini chini haitatusaidia na tutaendelea kufeli na wao wakifauru kwa kuonekana wafanyakazi Bora kumbe hamna lolote Uonevu tuu…

Uoga wako ndio kufeli kwako…..@diamondplatnumz Am so proud of u kiukweli unajua unachokifanya haijalishi anaetaka kukukatisha Safari yako ni Nani na anacheo gani!Ilimradi unajua haki yako basi uweka uwoga pembeni na kutetea haki yako….SAFI SANA ….Ktk kazi hizi kwa asilimia kadhaa hawa watu wamekuwa wakichangia kufeli kwa kazi zetu tena Mbaya zaidi utokeza baada ya kuona kuna baadhi ya mafanikio kupitia fani hiyo Ila wakati mkihangaika kusukuma gurudumu huwa wamekaa kimya kama hawapo Mnakosea Sana tena Sana mnakatisha tamaa mnafelisha watu Pamoja na Maisha yao bila kufikiri kuna watu wangapi Nyuma yake ambao anawabeba na kufanya Maisha yaende….Nashindwa kuandika sana lakini natamani tuu wajue kuwa WANATUKOSEA SANA SANA SANA……Wasanii tuinuke na kuwa na Uthubutu wa kusema yote yale ambayo tunaona tunaonewa na sio kukaa kuongea chini chini haitatusaidia na tutaendelea kufeli na wao wakifauru kwa kuonekana wafanyakazi Bora kumbe hamna lolote Uonevu tuu…..😏😏😏

A post shared by AUNTYEZEKIEL (@auntyezekiel) on

Advertisements
%d bloggers like this: