Skip to content
Advertisements

Diamond “Athibitisha uhusiano wa Lulu diva na Rich Mavoko”

Msanii Diamond platnumz ameandika ujumbe ambao umekuwa kama jibu la swali la watu wengi juu ya mahusiano ya wasanii wawili Lulu diva na Rich mavoko ambao walidaiwa kutoka kimapenzi toka mwishoni mwa mwaka jana lakini wote wawili walikanusha swala hilo leo ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya msanii lulu diva Diamond alimtakia heri kwa kuandika.

“Belated Birthday kwa Shemeji zangu Vipenzi…..my african beauties @malaikacute55 @luludivat…..We @luludivatz nae Utulete Mtoto sasa, Tushachoka picha zenu za Kuviziwa kwenye ma Parties”

Advertisements
%d bloggers like this: