Skip to content
Advertisements

Kifesi atimuka WCB “Nilikuwa nafanya kazi isiyo mpendeza mungu wangu”

Ikiwa zimepita siku chache tangu mpigapicha wa Diamond platnumz “kifesi ” ampe ushauri boss wake huyu juu ya yeye kumuacha Zari ambaye yeye alimwita kama mwanamke aliyepewa na mungu.

Leo tarehe 31 Kifesi ametangaza rasmi kuacha kufanya kazi na Diamond platnumz na wasafi kwa ujumla.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram kifesi aliandika ujumbe uliosomeka hivi.

Leo ikiwa ni siku takatifu na siku ya ibada kwangu ni siku niloamua kufnyamaamzi yatagobadili maisha yanguNimeamua rasmi kuacha kazi kama. Mpiga picha wa diamond na mwajiriwa wa wcb.. Well It’s insane to be leaving a stable job u love But that’s reality for me naacha kaz kwa mtu alokua zaid ya Rafiki kwangu naacha kaz ambayo ni ndoto ya Vijana wengi out there but to me..i see miaka yngu 4/5 ya kufanya kaz hapa inatosha niachie nafasi kwa vijana wengine nimeamua kufata moyo wangu . . ni uamzi nilokua nao karibu mwaka sasa but kama ilivo kwa waajiriwa wengi is so hard kufnya maamzi ya kuacha kazi but IN ORDER TO GROW WE NEED TO MAKE CHANGE.. Naacha kazi to persue my Dreams life ikiwamo Kujiajiri mwenyewe. Naacha kazi ili nipate muda mwingi wa kuwa flexible nitumie muda wangu mwingi ku-unleash my potential for excellence. reason ya mwisho na kubwa zaid kwangu.. Naacha hii kaz ili niwe karibu zaid na Mungu wangu kwa iman yngu kama. Mkristo nilkua nafnya kaz Katika lifestyle na mazingira ya kazi yasompendeza Mungu . . ni swala ambalo limenikosesha aman kwa miaka yote but at the end we need to choose GOD over everything.. Cfa. Umaarufu na fahari yote ya Dunia vitanifaidia nn endapo nitaukosa ufalme wa Mungu…?? Nimeamaua ku drop kila kitu i just want to have peace of mind .. do my works live my life and hav time with God… Ukimchagua Mungu hata hiv vingine atakuongezea najua kutakua na changamoto nyingi.. Up and downs but Mungu He knew me b4 a was born aliahid ukimchagua yeye he will open the doors atatufnya kuwa Kichwa na cyo mkia.. Mwisho nashukuru familia yote ya wcb kwa kua nami for all these yrs was great working with u.. but zaid nimshukuru Diamond kwa mda wote nlofnya nae kaz since chini mpka sasa.. Nimefnya kazi kwa mapenz.. bidii na uaminifu mkubwa Kwangu haukua boss bali rafik n nilkua rafik wa kweli kwako a will always appreciate mchango wako kwangu.. Tusameheane pale tulipowai koseana we are just humans ..hatutakua pamoja kikaz but Nina iman tutaendelea kua marafiki. God bless u.. Uzid kufika unapopenda kufika.. GOD Bless me.. God bless my next Hustles #happysabbath Day

Bado maswali ya wengi ni kuwa ushauri ule wa kifesi ndio chanzo cha yeye kuchukua maamuzi hayo ?! Toa maoni yako .

Advertisements
%d bloggers like this: